Kumbukumbu la Blogu

Jumanne, 16 Oktoba 2018

MAASAI YOUTH NETWORK

MAASAI YOUTH NETWORK

Lengo kuu la hili group ni kujadili mada mbalimbali za kimaendeleo kwa jamii yetu ili tuzonge mbele zaidi,

SHERIA ZA GROUP
wageni tunawaomba mkiwekwa kwa group jitambulishe kisha  tuma picha zako tatu tuweze kukufahamu,

Matusi picha,video za matusi na audio sisizokuwa na maana/maadili ni marufuku kutuma kwa group hili, ukiona group halikufai left in peace ufike salama unakoenda, kila siku kuanzia saa moja asbuhi mpaka saa kumi na mbili jioni ni muda maalum kwa ajili ya vichekesho siasa ushabiki wa mpira nafasi za kazi  nyimbo mbalimbali n.k

Kila siku kuanzia saa moja kamili usiku mpaka saa kumi na mbili asbuhi ni muda wa mada mbalimbali kwahiyo hairusiwi kutuma chochote ambacho hausiani na mada iliopo mezani hata kama hamna mada.

Voice ni ruksa mda wote ukweli ni kwamba hakuna asiejua kufuta media za simu yake, kama unaona aibu kutuma voice andika tutakuelewa, marufuku kufuta DESCRIPTION ya group

UTANI NI MARUFUKU KWA  HILI GROUP
utani ni maneno yenye ukweli/uongo ndani yake, utani ni kipengele mojawapo chenye uhusiano mwema wa kijamii unaowawezesha wanajamii hao kufanyana ushirikiano, HASARA ZA UTANI
husababisha ugomvi
Husababisha kuvunjiana heshima.
Hukasirisha wasio taniana.nk

RATIBA ZA VIPINDI
Narudia tena kila siku kuanzia asbuhi mpaka jioni ni muda wa ni kipindi maalum ya kubadilishana mawazo kwa vichekesho nyimbo za audio na video ushabiki wa mpira kujulishana nafasi za kazi zikitokea siasa na vingine vinavyomfurahisha mwenzako,

Kila siku kuanzia saa moja kamili usiku mpaka saa kumi na mbili asbhi ni muda maalum ya kujadili mada mbalimbali zitakazofanikisha malengo ya group letu, mada ni ruksa kwa mtu yeyote atakaejiskia kutoa lakini ukiona mwenzako amekuwahi kutoa kabla ya wewe kutuoa basi iandae iwe ya siku nyingine, lakini unapaswa kupost mada kwa muda yake tu. Ikitokea siku hakuna mada tuwe na kikaango, kikaango ya group letu iwe hivi       ukichaguliwa kukaangwa kama hutaki au hujui au unaogopa au hutakuwa na MB/chaji toa taarifa mapema kwenye group, maana kukaangwa sio lazima, wadau tunaomba kwenye kuuliza maswali ya kikaango tujitahidi kuuliza maswali zenye maana/maadili, maswali kama haya hayatakiwi kabisa,
Umeoa?
Una mpenzi?
Umeshawahi kusaliti?
Ulifumaniwa?
N.k yaani ukiuliza maswali yasioyo ya maana hutajibiwa na pia hatua za kisheria zitachukuliwa 

Ukikaangwa jibu maswali yenye maana tu.

JUMA PILI
kila siku ya juma pili ni siku maalum ya kumshukuru mungu kwahiyo siku hiyo iwe ni siku ya dini tu mada maswali kikaango ziwe ni za dini tu. Masaa 24 

VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA

By UTAWALA.

Bonyeza hapa kujiunga

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

TATIZO SIO MTAJI NI WEWE TU

Hawa ni wale wenye shauku kubwa moyoni mwao kufanya jambo la pekee na hawafanyi lakini ukiwauliza watakupangia sababu nyingi za kuhalalisha ...