*RATIBA YA MAASAI YOUTH NETWORK*
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
1__ ```kila siku kuanzia asbuhi hadi jioni ni muda wa wako wa kuposti vichekesho, ushabiki wa mpira na wa siasa utani,vituko nyimbo mbalimbali n.k.
2__ Kila siku kuanzia saa moja usiku na kuendelea ni muda wako wa kuchangia mada mbali mbali zitakazo wekwa mezani
3__ Ndugu mtazamaji mwenzangu kila siku kwenye kipindi cha mada hairuhusiwi mtu yeyote kuposti kitu chochote kinyume na mada iliopo mezani, ukienda kinyume na sheria tuliojiwekea simba atakutoa ukae nche ya group kwa siku mbili hiyo ndio adhabu ya kila mtu atakae vunja sharia ya group
4__ Ni ruksa kupost mada ukiona mada hakijawekwa mezani na mda imefika lakini ukiona mada ipo mezani na unayo nyingine iache iwe ya siku nyingine
5__ Lazima sio ombi kwa kila mgeni atakae ingia humu ajitambulishe na atume picha zake mbili akiwa amevaa kimaasai.
6__ kila mwisho wa mwezi tarehe 30 ni siku ya kutambulishana yaani siku hiyo unajitambulisha upya ili kama kuna wageni wameingia humu waweze kukujua unatuma picha zako mbili na majina na sehemu unaoishi maana kuna watu mpaka sasa siwajui kabisa yaani
7__ utani ni ruksa ila msipitilize kutania mtu mpaka anataka kuleft au kukasirika muwe na huruma 😂😂
8__ hairuhusiwi matusi yeyote humu wala haturuhusu picha/video mbaya yaani vitu vyote ambavyo hazina maadili
9__ tunapokea maoni kuhusu hii RATIBA
10__ jamani wapendwa tunawapenda sanaa hivyo tuwe tunawakaribisha wageni maana huwa kuna wa wageni wakiingia hawapati Ammani kama hawajakaribishwa mpaka wanaleft```
Asanteni by *utawala*